ENTERTAINMENTNEWS

Harmonize afunguka kuhusu Album yake, kuimba kiingereza na Kuwaita Watu 500 (+ video)

Harmonize afunguka kuhusu Album yake, kuimba kiingereza na Kuwaita Watu 500 (+ video)

March 14, 2020, Msanii Harmonize anazindua Album yake ya Afro East yenye jumla ya ngoma 18 Mlimani City DSM, Watu 500 pekee wamepewa nafasi ya kushuhudia uzinduzi huo huku Waziri wa Sanaa na Michezo Harrison Mwakyembe akipewa heshima ya kuwa mgeni rasmi.

Kutoka Wanene Studio ambako Harmonize na team yake wamepiga kambi wakiendelea na mazoezi ya kujiandaa na show, AyoTv na millardayo.com imepiga story na Harmonize na ametoa sababu ya kuwaalika Watu 500, kuimba kwa kiingereza nyimbo 12 kwenye Album na jinsi mauzo ya Album yatakavyokuwa.

Tags

Related Articles

Back to top button
Close
Close