NEWS

WAUZAJI WA BIDHAA ASILIA PIA ZISIZO NA KEMIKALI ZA NYWELE NA NGOZI. POPOTE UNALETEWA.

WAUZAJI WA BIDHAA ASILIA PIA ZISIZO NA KEMIKALI ZA NYWELE NA NGOZI. POPOTE UNALETEWA.
Written by Foxi

Tumia ikutunzie ngozi yako 0659946060

Kahawa ina faida nyingi sana kwenye ngozi zetu

Hili ni tatizo na wengi hawapend hali hii
Hali hii husababishwa na msuguano baina ya mapaja ngozi inakufa bila kufanya scrub na kupaka moisture huu weusi hautoki
Sasa tiba yake
Hakikisha unafanya scrub kutoa iyo ngozi iliyokufa
Paka moisture huu weusi utausikia kwa jiran yako
Ipende ngozi ikupende .kwanini uwe na rangi mbili tena mwengine unakuta ngozi imekauka imekakamaa ye anaona kawaida kabisa
0659946050

Hakikisha una miliki hii Package

Inang’arisha inatakatisha mwili mzima pata
Sabuni
Scrub
Magic mask


Amla powder 👌👌🙌🙌🙌 nikukumbushe nikufahamishe hakuna lotion inayotibu chunusi ila kazi ya lotion ni kuipa afya Ngozi kuipa moister Ngozi na kufanya yenye muonekano mzuri sasa ukiwa na chunusi hakikisha unazitibu kwanza kisha unatumia lotion natural ili kutokujirudia tena tatizo wengi wenu mmeangukia kwenye matumizi ya cream Kali kwa kutafuta suluhisho la Ngozi
Unatumia vitu vikali kweli chunusi zinaisha ila ukiacha tu zinarudi kwa Kasi ya ajabu shida ushaijua ni nini basi wasiliana nasi 0659946050

About the author

Foxi