ENTERTAINMENTNEWS

Angalia Tofauti Kati Ya Ep (Extended Playlist) Na Album Hapa.

EP ni kifupi cha neno extended playlist hujumuisha nyimbo kuanzia 4-7 na duration yake inakuwa dakika 10-30. Album hujumuisha nyimbo zisizopungua 8 na kuendelea na duration ya muda ni kuanzia dakika 30-80.

TUKAE UMO!!

RELATED: Sababu Zinazochangia Mtoto Mchanga Kulia Na Uchukue Tahadhari.

Tags

Related Articles

Back to top button
Close
Close