ENTERTAINMENT

SELELEKA NA KITONGA JACKPOT BONUS YA KIBABE (SHINDA MARA 40)

SELELEKA NA KITONGA JACKPOT BONUS YA KIBABE (SHINDA MARA 40)

SELELEKA NA KITONGA JACKPOT BONUS YA KIBABE
Shinda mara 40 ya dau lako
Wale wababe katika anga za kubet, Betika inakuletea funga mwaka ya Kibabe itakayokufanya
uvune pesa lakini pia kuna bonus za kumwaga zitakazokupa nafasi ya kucheza zaidi kupitia
Kitonga Jackpot Bonasi ya Betika!
Iko hivi, Maisha ni rahisi kupitia Kitonga Jackpot Bonasi, Unashinda mara 40 ya dau lako
utakaloweka katika mkeka wako kwa kiasi cha sh. 250 tu umeona wapi hii utaipata Betika pekee
inayotaka uvune pesa.
Ukiacha utamu huo, Betika wanasema wote wanaocheza ni washindi ukiwemo wewe
utakayecheza leo na sasa ukishinda mechi 7 kati ya mechi 8 za Kitonga Deile Jackpot; basi
Betika haikuachi hivi hivi, Utajipatia bonasi ya sh.10,000 itakayo kuwezesha kucheza zaidi ili
ushinde. Unaachaje kucheza hii?
Achana na hiyo tu; Ukishinda mechi 6 kati ya mechi 8 bado Betika wako na wewe! Unapata
bonasi la Kibabe la sh.1000 yote ni kukupa fursa ya kuvuna mamilioni kibabe.
Mtu wangu wa nguvu tambua kwamba zaidi ya watu 200 tayari wameshashinda na Kitonga
Jackpot Bonasi ikiwa ni Siku chache tu  na sasa ni zamu yako wewe uliyebaki kujiunga katika
ushindi huo.
Unachotakiwa kufanya ni rahisi, Zama www.betika.co.tz ukifika humo unabonyeza mahali
pameandikwa Kitonga Deile Jackpot kisha chagua mechi zako kwa gharama ya sh 250 tu ili uwe
mshindi.
Kwa maelezo zaidi kuhusu kitonga jackpot Bonasi na huduma zingine za Betika usisite
kuwasiliana na namba 0659 070 700
Anza kubeti sasa useleleke na Kitonga Jackpot Bonasi msimu huu wa sikukuu ili nawe uwe
mtamu na utambe unavyotaka kitaaa.