AUDIO: Lameck Ditto – VALEPAIN Mp3 Download

AUDIO: Lameck Ditto – VALEPAIN Mp3 Download

Download and Listen to brand new song audio from Tanzania singer and recording artist better known by his stage name as lameck ditto to bring valepain below

RELATED: Audio: Lameck Ditto – SIONI HAYA Mp3 Download

”Katika msimu huu wa wapendanao kwa asilimia nyingi watu wanajikita katika maswala au upande unaowapa furaha na amani katika mioyo yao na kusahau kuna baadhi ya watu wako katika ulimwengu tofauti kabisa, mioyo ya watu hawa imejaa mateso, huzuni, majonzi na kutokuamini kabisa katika neno ‘mapenzi’ yaani wako katika valepain pakua nyimbo hii usikilize mistari hii ya kukufanya upate faraja kwenye moyo wako.

DOWNLOAD HAPA!!