Dr Kiwanga

Nilibaki Kuwa Nyuma Kwa Kipindi Kirefu, Kila Jambo Lilishindika Ila Kwa Njia Hii Ndo Nilifanikiwa.

Nilibaki Kuwa Nyuma Kwa Kipindi Kirefu, Kila Jambo Lilishindika Ila Kwa Njia Hii Ndo Nilifanikiwa.

Maisha kwa hakika huwa mazuri na yenye kuvutia iwapo mtu anaweza kupiga hatua kila mara. Jambo baya ni kubaki katika sehemu moja kila wakati. Swala hili linaweza kukuletea msongo wa mawazo kwani wakati mwingine watu husema ni laana.

Kwa kweli kujaribu ndio kuweza lakini wakati mwingine kujaribu huku hufika ukingoni. Nilikuwa na shamba takribani ekari saba na hapo nilifahamu fika kwamba iwapo ningelitumia vizuri shamba lile siku moja ningeibukia kuwa milionea.

Watu wengi walikuwa wanakuja nyumbani kuuliza iwapo ningewakodisha shamba lile ili wafanyie ukulima lakini nilikataa kwa kuwa nilikuwa najua kwamba iwapo ningeichukua fursa ile mwenyewe lingenipa mapato ajabu. Mwaka wa kwanza nilipanda nyanya kwa matumaini kuwa ningepata faida tele.

Nyanya zile zilinawiri kweli na kila aliyenitembelea shambani alisema kuwa zilikuwa katika hali nzuri na kwamba ningepata mamilioni ya pesa kutoka kwenye nyanya zile. Jambo lile lilinitia moyo kwani nilizishughulikia ipasavyo iwe ni madawa ya wadudu ama maji zilihitaji nilikuwa nazimwagia.

Ilikuwa imebaki ni mwezi moja niweze kuchuma nyanya zile na hapo nikakumbwa na mshangao nisijue la kufanya kwa sabau wadudu na nyani walivamia na kwa muda wa siku tatu shamba lilikuwa limebaki tupu nisijue ningeanzia wapi nimalizie wapi.

Marafiki walianza kunicheka na hapo nikafahamu kuwa wote waliokuwa wakizisifia zile nyanya kabla ya masaibu yale kunifika walikuwa na nia mbaya. Kila niliyemweleza alisema kuwa pole lakini nilifahamu fika walikuwa wenye furaha hawakuionyesha hadharani kwa vyovyote vile.

Baada ya miezi kadhaa niliamua kufanya ufugaji wa kuku wa kuuza nyama. Nilitumia takribani shilingi laki mbili hivi kununua vifaranga wa kufuga pamoja na vyakula ili biashara ile iweze kunipa pato ambalo ndio ilikuwa haja yangu.

Kuku wale walipokuwa wamebakisha muda kama wa miezi miwili ili nianze kuwauza kama nyama kwenye hoteli kubwa kubwa, mara tu ugonjwa usiotambulika ulitokea katika sehemu ya nchi jirani ya Uganda na kuwaua kuku wale wote.

Hali hii iliniacha katika huzuni kwani niliona shilingi zangu takribani milioni tano zikipotea tu nisijue cha kufanya. sikujua nini kilikuwa kibaya. Kila kitu nilichojaribu kiligonga ukuta.

Lakini nilifahamu fika kwamba siku moja shughuli zangu za ukulima zingenipa pato zaidi na kwamba haya yalikuwa tu ni majaribu ya kawaida na muda ulivyosonga yangefika ukingoni. Niliamua kwenda kwa rafiki yangu makame kupata ushauri kwani ilionekana wazi kwamba shughuli zake za ukulima zilikuwa zimenawiri balaa.

Si ufugaji wa ng’ombe wa maziwa, kuku, mahindi na kadhalika. Ukulima huu ulikuwa umemwezesha kununua hata magari ya usafiri. Nilitaka kujua nini alichokuwa akifanya tofauti na mimi ili pia na mimi niweze kufanya ili ukulima uweze kunipea pato kwa kuwa nilikuwa nimechoka kubahatisha maishani kwa wakati ule wote.

Alinieleza kuwa alikuwa amesaidiwa na daktari Kiwanga kwamba lolote angetaka kufanya lingetimia, Nilitaka kujua zaidi na hapo akanipa namba ya daktari Kiwanga. Niliwasiliana naye na akatenga muda ambao ilikuwa tupatane ili anisaidie jinsi alivyomsaidia makame.

Siku iliyofuata nilifika ofisini kwake na daktari Kiwanga akanishughulikia kwa muda mfupi. Alinieleza kuwa nyota yangu haikuwa katika ukulima bali ilikuwa katika biashara. Nilirejea nyumbani na kuanzisha mkahawa mdogo na nilishangazwa sana na mapato ya hoteli ile kwani yalikuwa ni maradufu.

Siku zikiposonga, nilifungua hoteli nyingine kubwa hata zaidi na hii watalii pekee ndio waliofika pale hotelini. Nilifahamu fika kwamba daktari Kiwanga allikuwa ni mtu mwaminifu na wa kutegemewa katika shuguli mbalimbali. Anatibu magonjwa kama vile kisukari, msukumo wa damu na mengineyo. Ana uwezo wa kusuluhisha shida za ndoa, kuwezesha kushinda kesi kortini na mambo mengineyo kwa muda wa siku tatu pekee. Kwa mengi zaidi wasiliana nao kupitia barua pepe kiwangadoctors@gmail.com ama kwenye wavuti www.kiwangadoctors.com ama waweza kuwasiliana nao kupitia namba ya simu +254 769404965.