Dr Kiwanga

SOMA MKASA HUU: Majambazi Waliiba Gari Yangu, Nilichowafanyia Walilirudisha Wenyewe.

SOMA MKASA HUU: Majambazi Waliiba Gari Yangu, Nilichowafanyia Walilirudisha Wenyewe.

Nlikuwa nafanya kazi na kampuni moja maarufu sana nchini nikiwa kama mfanyakazi wa kawaida hadi nilipopandishwa madaraka hadi nikawa meneja. Maisha yangu yakachukuwa mkondo mwingine nikaanza maisha mapya, awali nilipitia changamoto si haba kwanza kutembea kwa masaa mengi na kusafiria matatu kila siku ilikuwa inanigharimu fedha nyingi zaidi, nilifurahia sana nlipopandishwa madaraka katika kampuni ile.

Kwa kweli rafiki zangu wengine hawakuhisi vizuri na Mara nyingi walinionea wivu lakini sikutia shaka nilifanya kazi kwa bidii zaidi. Nilipofanya kazi kwa muda mrefu kutokana na marupurupu ya kila mwezi niliziweka kama pesa ya akiba ndipo sasa niliamua kununua gari ambalo nililitumia kwa minajili ya usafiri na kupunguza gharama ya usafiri.

Baada ya miezi kadhaa rafiki zangu wengine wakawa wananikodi gari wanaenda nayo mahali kisha wanarejesha huo ukawa ndio mtindo wa kila siku. Siku moja nilichelewa kutoka kazini kwa vile kwangu nyumbani huwa mbali niliamuwa kupitia njia ya mkato ili nifike haraka sikujua ilikuwa siku ambayo gari Langu Lingeibiwa.

Nilipokuwa napita njia ile niliona gari ambalo lilikuwa linanifuata kwa kasi sana nilipokuwa najaribu kuongeza mwendo wa gari, gari langu liligongwa kutoka upande wa nyuma basi niliposimama wanaume wenye miraba walikuja nilipokuwa nakuniagiza nishuke na niwape ufunguo wa gari, niliposita kuwapa nilizabwa makofi na kichapo kikali kikafuatia hapo ndipo nilipopoteza fahamu, na hapo ndipo gari langu lilipotea.

Nilipopata fahamu nilijikokota hadi nyumbani nisijue nianzie wapi nimalizie wapi, siku ilifuatia nikapiga ripoti kwa polisi ili wanisaidie kutafuta gari langu Lililopotea .Kila siku nilitumai kwamba walioiba gari langu wangepatikana, polisi walijaribu kila wawezalo lakini walishindwa nikabaki hivo nisijue cha kufanya.

Wakati mmoja nilikuwa napitia maswala kadha wa kadha kwenye mtandao wa kijamii nilipopata nambari ya kiwanga doctors, nilikuwa na hofu lakini nilijikaza kuwapigia na nilipoongea na wao nakuwaeleza yaliyonipata wakanishauri nisitie hofu gari langu linapatikana.

Nilikuwa nyumbani kwangu nilipoelezwa na mfanyakazi wangu kwamba kuna
watu wanataka kuniona, nilienda kukutana wao kumbe rafiki zangu niliowadhamini ndio wezi, rafiki zangu wakipiga magoti huku wakiniomba msamaha kwamba ni wao ndio waliochukuwa gari langu na wamelirejesha, walisema waliyaona mambo yasiyo ya kawaida na yaliyowatatiza maishani mwao na wangeyaomba niyasimamishe.

Mara tu gari la polisi lilifika kuwachukuwa.Nashukuru kiwanga doctors sana gari langu lilirudi. Nashauri yeyote anayekumbana na matatizo ya wizi kutembelea Madaktari wa kiwanga kuweza kupata suluhu. Madaktari hao wa kiasili pia hutibu magonjwa Kama kifua kikuu, Saratani ya mapafu, Kisonono na mengine mengi, Pia wanasuluhisha matatizo Kama ya kimapenzi, Uchawi na kulinda boma lako kutokana na wezi na mengine mengi. Watembelee leo upate suluhu. Kwa mengi tembelea wavuti www.kiwangadoctors.com ama pia waweza kupiga simu kwa Namba +254 769404965 barua pepe kiwangadoctors@mail.com