Mimi Ni Msichana Mrembo Sana Ila Nikiingia Kwenye Mahusiano Ya Kimapenzi Na Mwanaume Yoyote Huniacha Bila Sababu Yoyote Ya Msingi

Jina langu naitwa Serina nina umri wa miaka 26 Mimi ni msichana mzuri kisura pia kitabia kutokana na jamii ninayoishi wanavyonambia, ata mimi mwenyewe nikijitazama naona kuwa nimetimia kila sehemu kwa sababu nina kila sifa mwanaume ambayo anapenda kwa mwanamke.

Shida yangu kubwa ambayo imenifanya niandike ujumbe huu nahitaji kupata ushauri kutoka kwa watu mbalimbali ili niweze kujua jambo gani la kufanya kwa sababu nimeumia kwa muda mrefu sana na kujiuliza mimi mwenyewe maswali mengi bila kupata majibu sahihi ambayo yanaweza tatua shida yangu niliyonayo.

Shida kubwa ni tangu nikiwa na miaka 17 nikijihusisha na mausiano na mwanaume yoyote tunapendana kwa muda mchache sana na kuniacha bila kujua wapi nimemkwaza. Hali hiyo imenitokea kwa wanaume wengi sana ila mimi sikujari nikidhani mwanaume ambaye ananitongoza kisha tunapendana na badae ananiacha anakuwa sio chaguo ambalo mungu amenipangia.

Nilipofikisha miaka 23 nikahitaji mwanaume ambaye nitaweza funga nae pingu za maisha kwa sababu nilikuwa nimesha hitimu masomo yangu hivyo nilihitaji mtu wa kubadirisha mawazo ya maisha japo bahati yangu kubwa nilikuwa natongozwa kila mara ila naachwa bila kujua wapi nimemkwaza mwenzangu, jambo ambalo limekuwa kitendawili kwangu.

Siku moja nilienda kumtembelea Shangazi yangu mkoa wa Tabora ili niweze badirisha mazingira ya nyumbani maana nilikuwa nimechoka kukaa home, Nilifika salama na kupokelewa na mtoto wa Shangazi yangu Amina, Amina alikuwa na umri kama wangu hivyo tulibadilishana mawazo mbalimbali kuhusu wanaume hata kuhusu maisha.

Watu wengi mtaani walihisi kuwa mimi na Amina ni mapacha kutokana na kufanana sana pamoja na jinsi tulivyokuwa tunapendana, Nikiwa nimemaliza siku saba mkoa wa Tabora nikatongozwa na kijana mmoja anaitwa Sharifu, kwa mtazamo wa haraka Sharifu alikuwa ni kijana mwenye sifa ambazo mimi napenda mwanaume kuwa nazo japo sikuweza kumkubalia nikihofia yale yaliyonitokea kwa wanaume wa kwanza nilio kutana nao japo moyo wangu unaumia.

Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali ambazo tunakutana nazo kila siku kama kurudisha mpenzi wako, Kupata uzazi, kusafisha nyota yako,kupandishwa cheo kazini, kupata kazi, kushinda michezo ya bahati nasibu, kumfunga mme au mke asiende nje ya ndoa na kutambua kuwa mwenzako anakusaliti au hapana kwa muda wa masaa 24. Pia kiwangadoctors wanatibu ugonjwa wa Sukari, Pressure na dawa ya nguvu za kiume Wasiliana na kiwangadoctors kwa namba ya simu +254 769404965 au Whatsapp tuma ujumbe kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com na zaidi tembelea website yao www.kiwangadoctors.com kupata taarifa zaidi.

Siku zinazidi kusogea na Sharifu bado anaomba nimkubarie ili tuweze anzisha familia pia pesa yake ananipatia kila ninapohitaji bila kusita hata mtaani wanamsifu kuwa ni kijana mzuri hana sifa yoyote mbaya mtaani hata Shangazi anamjua kwa sasa ila mimi sijakubari.

Nahitaji ushauri kwa yoyote atakaye weza soma story yangu maana sijui kipi nifanye Sharifu nampenda ila naogopa nikisha ingia kwenye mahusiano nae ya ndani kabisa yasije nitokea kama mwanzo au nibaki single na kula pesa za wanaume wanaonitongoza ila nisiwakubarie na je nikifanya hivyo ntaishi maisha mazuri? kwa sababu umri unaenda pia.