Home Dr Kiwanga SOMA HII: Nilitapeliwa Shilingi Milioni Moja, Kwa Njia Hii Ndo Nilifanikiwa Kumkamata...

SOMA HII: Nilitapeliwa Shilingi Milioni Moja, Kwa Njia Hii Ndo Nilifanikiwa Kumkamata Tapeli Yule

0
SOMA HII: Nilitapeliwa Shilingi Milioni Moja, Kwa Njia Hii Ndo Nilifanikiwa Kumkamata Tapeli Yule

Nilikuwa nafanya biashara mjini KARIAKOO DAR ES SALAAM, Biashara yangu ya uuzaji wa duka ulikuwa umenoga katika mitaa yote na hata kuenea katika ukanda mzima wa mkoa wa Dar es salaam, Nilitamani hata kufanya biashara zingine ambazo zingenileta mapato zaidi kwani biashara ndio ilikuwa wito wangu maishani.

Kwa ajili ya kuwa na malengo, nilikutana na bwana Jackson ambaye alijifanya mratibu katika wizara ya magereza kwenye wilaya nzima ya temeke. Aliniambia kuwa alikuwa na kazi ambayo alitaka kunipa ambayo ilikuwa ni usambazaji wa bidhaa mbalimbali kama vyakula, bidhaa za malazi, bidhaa kama vitabu na makaratasi ya uchapishaji katika magereza mbalimbali kwenye wilaya hio.

Hapo nilifahamu fika kwamba Mungu alikuwa amesikia kilio changu cha kutafuta riziki nyingine mbali na ile ya mwanzo, Hii ilikuwa fursa nzuri kukutana na viongozi wenye ushawishi kwenye wilaya.

Bwana Jackson aliniambia alihitaji hongo ya takribani shilingi milioni moja kwasababu tenda ile ilikuwa inadumu kwa muda wa miaka kumi na iwapo nitachelewa kumpa pesa zile basi atatafuta mtu mwingine ambaye atachukua nafasi yangu.

Sikusita na hapo nilienda kwenye mapato yangu nikatoa shilingi laki mbili, Nilielekea kwenye benki na nikakopa shilingi laki nane ili zifike milioni moja jinsi alivyodai bwana Jackson kisha tulikutana kwenye hoteli moja mjini Dar na hapo nikampa pesa zile kwenye mkoba kwasababu sikutaka wahudumu wa hoteli ile wagundue nini kilichokuwa kikiendelea wakati ule.

Kazi ilikuwa ianze kwa muda wa wiki moja hivi, Baada ya wiki kuisha nilielekea kwenye ofisi za magereza tayari kujua lini ningeanza kusambaza ukizingatia kuwa bwana Jackson alikuwa amenipa stakabadhi zote za kuhudumia kama msambazaji mkuu.

Nilishikwa na mshtuko wa moyo kwani pale ofisini niliambiwa hamna yeyote aliyemtambua yule bwana. Nilitamani dunia inimeze lakini tayari maji yalikuwa yamezidi unga. Nilijaribu kumpigia bwana Jackson ili kumtishia aweze kurudisha hata nusu ya ile hela lakini yote yaligonga mwamba hakupatikana.

Nililazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi kwani mshtuko wa moyo ulinishika. Nilimaliza takriban siku saba katika chumba cha wagonjwa mahututi kwani hali ilikuwa mbaya kwa ajili ya mshtuko wa moyo ambao ilibaki kidogo niende zangu ahera.

Baada ya siku chache nilipokuwa nyumbani kwangu nikitazama taarifa za habari niliona picha za yule bwana. Alikuwa ni mwizi sugu aliyelaghai raia kwamba alikuwa na uwezo wa kuwapa kazi mbalimbali, Kulingana na taarifa zile alikuwa amewaibia watu Flani laki mbili kwa udanganyifu kuwa angewaingiza katika idara ya jeshi kwani yeye ni amri jeshi mkuu.

Serikali ilitoa taarifa kwamba mtu yeyote atayemkamata atapata zawadi ya shilingi milioni mbili, Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kutapeliwa, Benki niliyokopa ilianza kunifuata kwani deni lao lilikuwa limekawia muda sasa bila ya kuanza malipo rasmi. Nilikumbwa na msongo wa mawazo nisijue la kufanya kwa wakati ule.

Nilifahamu fika iwapo ningempata bwana Jackson alipokuwa mafichoni ningepata shilingi milioni mbili kama serikali ilivyotangaza, Baada ya siku chache nilikutana na mtandao www.kiwangadoctors.com ambapo palikuwa na simulizi za watu waliokuwa na shida za kulaghaiwa kama mimi na daktari Kiwanga akasuluhisha na mwisho wakapata hela zao.

Sikusita na hapo nikapig namba ya daktari yule ili awe tayari kwani siku yoyote nitatembelea katika ofisi zake mjini Kericho.

Siku iliyofuata nilienda ofisini kwake na baada ya majadiliano kadhaa akanihudumia mara moja. Baada ya siku moja, nilipigiwa simu, Kuitazama vizuri alikuwa ni bwana Jackson. Nilishangaa kwani vipi angejitokeza kwani serikali ilikuwa mbioni kumsaka.

Alisema alitaka tukutane alitaka kunipa shilingi laki saba na zingine atalipa pole pole ilmradi nisiwapigie polisi. Kwa kweli matibabu ya daktari Kiwanga yalikuwa ya balaa. tulikutana na bwana Jackson akanipa hundi ya shilingi laki saba.

Nilikuwa tayari nimewafahamisha polisi na alipokuwa keshanipa hundi ile tayari ili aende zake, pingu zilikuwa mikononi kwani nilitaka kupata zile milioni mbili kwa vyovyote vile. Baadaye jioni taarifa zilienea kwote nilikuwa nimempata bwana Jackson na hapo nilipewa shilingi milioni mbili.

Alifungwa maisha katika gereza la mara na mali zake kuuzwa ili kulipa watu aliowaibia. Ama kwa hakika daktari Kiwanga ni mtu wa kuaminika.

Kando na kusuluhisha kesi za ulaghai, daktari Kiwanga ana uwezo wa kusuluhisha migogoro ya mashamba, kesi kortini na mengineyo kwa muda wa siku tatu pekee. Ni daktari bora zaidi kwenye ukanda huu wa Afrika Mashariki kama wengi wanayosema kwa ajili ya huduma zake zisizo za kubahatisha.

Wasiliana na kiwangadoctors kwa namba +254 769404965, tuma barua pepe kiwangadoctors@gmail. Pia unaweza tembelea website yao www.kiwangadoctors.com kutambua mengi yanayowahusu.