AUDIO

Msanii Whozu Atishia Ujio Wa Ngoma Mpya Kwaajili Ya “Chawa” Chawa “Utamjua” Sikiliza Hapa

Msanii Whozu Atishia Ujio Wa Ngoma Mpya Kwaajili Ya "Chawa" Chawa "Utamjua" Sikiliza Hapa

Msanii Whozu Atishia Ujio Wa Ngoma Mpya Kwaajili Ya “Chawa” Chawa “Utamjua” Sikiliza Hapa

RELATED: VIDEO: Hamisa Mobetto Ft Seneta – Ex Wangu Rmx Mp4 Download

ifike mahali wapewe Heshima Wanaostahili. Bro Kabla hujaajiriwa clouds Unatakiwa kujuwa Kuwa uliowakuta hapo tena wengine hawapo sasa hivi ndio walionishika mkono na kunisupport mimi 100% hadi kunipa Nafasi kuperfom shows 14 za fiesta 2017. Na pia wapo Ndugu zangu ambao walijitoa kwa ajili yangu Na mpaka leo hii wapo kwa ajili yangu No matter what?!! Na pia Naheshimu Sana support nayopewa na mashabiki zangu Hujui wametoka na mimi wapi bro. Tena Ushukuru Mungu Iyo Sensema Niliyoandika Mimi Nyimbo nzima Ndo hit song pekee ya boss wako. SO TOFAUTI ZETU HAZIHUSIANI KABISA NA KAZI YETU. TUHESHIMIANE BRO.