AUDIO ENTERTAINMENT

Karibu Tuongee!! Je Unaamini Kuwa Diamond Platnumz Ni Msanii Anaeongoza Kwa Utajiri Africa Mashariki?

Iko hivi, miezi michache iliyopita blogu moja ya nchini nigeria ilichapisha taarifa za uongo na kutoa orodha ya wasanii matajiri 25 afrika, na msanii Diamond Platnumz akawa kachukuwa namba 28 katika orodha hio.

RELATED: AUDIO: Rayvanny – Natafuta Mp3 Download

Watu wengi walifahamu kuwa orodha hio ni ya kweli na imetolewa na forbes, Diamond Platnumz mwenyewe alikua ni moja ya watu waliosikitishwa sana na taarifa hizo na hata alipost kwenye ukurasa wake wa instagram na akasema

“FORBES: Next time Google me to know I am really worth of before putting me on your Stupid Richest African Musicians list!!!!!,”

We Unahisi Ni Kweli Au Uongo? Hebu Shusha Comment Yako Hapo Chini Twende Sambamba “Unaamini Kuwa Diamond Platnumz Ni Msanii Anaeongoza Kwa Utajiri Africa Mashariki?”

5 Comments