Get New DJ Mixes
MUSIC

Kitonga Deile Jackpot Yaibua Washindi 12 Kwa Mpigo

Kitonga Deile Jackpot Yaibua Washindi 12 Kwa Mpigo

*Haijawahi kutokea washindi 12 Jackpot ndani ya siku moja.*

Huku Betika mambo yanazidi kuwa matamu katika kila siku mpya, na sasa ushuhuda huu unadhihirika hadharani baada ya  washindi 12 kujizolea mapesa yao ndani ya Jackpot moja. Hii ‘Haijawahi’ kutokea kwingine.
Washindi hawa 12 ambao sasa wanatamba na pesa zao mitaani wameshinda mikwanja yao kupitia  Kitonga deile Jackpot pekee ambayo ni Jackpot rahisi zaidi inayotoa washindi wengi hapa Tanzania. 
Betika inataka wewe ushinde na uzidi kuongeza idadi ya washindi wengine katika Kitonga Deile Jackpot ambayo inakuwezesha kushinda  1,000,000 kila siku.
Changamkia fursa hii ya kibabe kwa kuingia katika tovuti yetu kupitia www.betika.co.tz ukifika hapo gonga pale kulipoandikwa  Kitonga Deile Jackpot kisha chagua mechi zako ambazo ni 8 tu na ushinde kibabe.
Nafasi ni yako ya kuungana na washindi hawa 12 na  kuifanya Januari yako kuwa nyepesi kwa kushiriki na kuchagua mechi hizo nane kisha weka ubashiri ukitumia dau la sh 250 tu na maisha yako yatabadilika fastaa.
Hii ni yako wewe na mwenzio kutoka Betika ambao mpaka sasa hawana mpinzani katika kutoa washindi kwa dau dogo,huna sababu ya kuikosa fursa hii,cheza sasa ili Januari yako iwe nyepesi .

Kwa maelezo zaidi kuhusu Kitonga Deile Jackpot  na huduma zetu zingine kutoka Betika usisite kuwasiliana nao kwa namba 0659 070 700.