AUDIO ENTERTAINMENT

Tuambie Kati Ya Ep Ya Diamond Platnumz Na Nyimbo Ya Mwaka Ya Harmonize, Kipi Unasubiri Kwa Hamu Shusha Comment Yako Hapa Chini.

Imethibitishwa kuwa kesho siku ya tarehe nne mwezi march kutakuwa na matukio makubwa mawili kwenye tasnia ya bongo fleva,

Ambapo Kutakuwa na Vinara wawili wa bongo fleva ambao ni diamond platnumz (simba, dangote) na mwanae kimuziki ambae ni harmonize (konde boy, jeshi)

Kesho msanii diamond platnumz ataachia extended playlist yake ya kwanza ambapo watu wengi hasa mashabiki wake wanaisubiri kwa hamu.

TIZAMA: AUDIO: Dully Sykes Ft Jux – Ghetto Mp3 Download

Mbali na hio kuna nyimbo ya mwaka ambapo msanii mwenzake hamornize ameahidi kuiachia siku ya ijumaa tena ni nyimbo ambayo itatarajiwa kuwa chachu kwenye tamasha lake liitwalo afro east carnival.

EEE BHANA EEH MJI HAUTOSHI WEEKEND HII!!! TUAMBIE HAPO CHINI KIPI UNASUBIRI KWA HAMU NA KWANINI?