Ukipenda Chips, Usiogope Mimba na Misemo Mingine ya Kuvunja Mbavu Kwenye Malori

Ukipenda Chips, Usiogope Mimba na Misemo Mingine ya Kuvunja Mbavu Kwenye Malori

RELATED: Karibu Tuongee!! Je Unaamini Kuwa Diamond Platnumz Ni Msanii Anaeongoza Kwa Utajiri Africa Mashariki?

Iwapo umekuwa ukisafiri kwenye barabara za nchini Tanzania, bila shaka umekutana na nukuu zilizoandikwa kwenye malori, mabasi na hata pikipiki

Misemo hiyo ya kuvunja mbavu mara nyingi huwa imeandikwa nyuma ya magari au hata ndani

Mara nyingi misemo hiyo mbali na kuwa ya kuibua uchesi huelezea tu hali halisi ya jinsi maisha yalivyo katika ulimwengu wa kisasa

1. Ukikosa tumaini kula tu matumbo

2. Maisha ni yangu matanga ni yenu

3. Waliokudharau siku moja watakudharau tena usipojikaza

4. Machozi ya nini na viboko bado

5. Kijiji kidogo umbea milioni

6. Punda haku soma lakini hakosi kazi

7. Utamu wa ugali ni aina ya mboga

8. Ukipenda chips, usiogope mimba

TUNAOMBA TUANDIKIE AU COMMENT MSEMO ULIOWAHI KUUONA NA WEWE HAPO CHINI KWENYE COMMENT

One thought on “Ukipenda Chips, Usiogope Mimba na Misemo Mingine ya Kuvunja Mbavu Kwenye Malori

Comments are closed.