AUDIO GOSPEL

AUDIO: Kwaya Ya Mt Theresia Matogoro – I Love You Mp3 Download

AUDIO: Kwaya Ya Mt Theresia Matogoro - I Love You Mp3 Download

AUDIO: Kwaya Ya Mt Theresia Matogoro – I Love You Mp3 Download

brand new song audio from tanzania gospel singer and recording artist known as kwaya ya mtakatifu theresia matogoro to bring i love you audio

RELATED: AUDIO: Bony Mwaitege – Usijitetee Mp3 Download

Download and Listen to i lov you audio from tanzania gospel singer known as kwaya ya mtakatif teresia thelesia matogolo below

DOWNLOAD AUDIO HERE

Kwaya Ya Mt Theresia Matogoro – I Love You Lyrics

sku tuliyoingoja mimi na wewe,
Kwa uwezo wake mungu leo imefika,

Popote uendapo tutakuwa pamoja
{Mungu ametuunganisha mimi nawe,
nasi wawili tena ni mwili mmoja,
wewe ni wangu kweli
na mimi ni wako njoo,
I love you mpenzi wangu
I need you siku zote I love you) *2

Kwa maombezi yake mama yetu maria,
Ahadi yetu sasa kweli imetimia,

Chaguo la moyo wangu mimi nakupenda,
Tulizo la moyo wangu njoo karibu yangu,

Nimekuchagua wewe wangu wa maisha,
Agizo la moyo wangu njo tujitulize,

Mpenzi wangu nakupenda nawe unipende,
Kwa penzi la raha na karaha tupendane,