Get New DJ Mixes
AUDIO ENTERTAINMENT

Hawa Hapa Washindi Wa Wiki Wameondoka Na Simu Wewe Unasubiri Nini?

Hawa Hapa Washindi Wa Wiki Wameondoka Na Simu Wewe Unasubiri Nini?

Hawa Hapa Washindi Wa Wiki Wameondoka Na Simu Wewe Unasubiri Nini?

GUSA HAPA JIUNGE GROUP HILI LA WATSAPP TUKUELEKEZE JINSI YA KUSHINDA

Ni washindi wa kwanza waliojishindia SIMU JANJA pamoja na zawadi nyingine kedekede kwenye  PROMOSHENI YA SHINDA SIMU UKIBETIKA iliyoandaliwa na Kampuni namba moja ya burudani za kubashiri ya Betika! kwa kushirikiana na tovuti ya CLOUDSMEDIA.

Baraka Obedi Sumari kutoka Arusha Tengeru ni mmoja kati ya washindi 5 wiki ya kwanza kwenye promosheni hii, amesema haya mara  baada ya kukabidhiwa zawadi zake;

“Nimejisikia wa maana sana kupokea zawadi zangu zilizotumwa kwa njia ya ndege. Nawaambia wengine waendelee kucheza kwa dau la BUKU na ODDS kuanzia 5.99 ili nao washinde bila MIYEYUSHO”

Washindi wengine wanne ambao WAMESHINDA SIMU JANJA pamoja na zawadi nyingine kutoka Betika ni;

2. Yunus Ibrahim Makame – Zanzibar

3. Omary Shabani Shabani – Mara

4. Joseph Emmanuel Marwa – Geita

5. Pastory Biamungu Chakwita – Morogoro

Hata wewe unaweza KUSHINDA SIMU JANJA KILAINII! Kuingia kwenye listi ya WASHINDI wiki ijayo fuata vigezo vifuatavyo;

  • Zama katika tovuti ambayo ni www.betika.co.tz
  • Zama katika ‘Mechi Kali Za Leo au BETIKA LIVE na uweke beti yenye ODDS ya kuanzia 5.99
  • Weka dau la kuanzia BUKU MOJA au zaidi
  • Washindi wa 5 watatangazwa kila wiki

Beti mara nyingi ujiongezee nafasi ya kushinda

Namba ya malipo ya kuweka mkwanja kwenye akaunti yako ya BETIKA! ni 545454 na kama kuna changamoto yoyote unaipitia unapotumia huduma zao bonga nao hapa  0659 070 700  au Chati kupitia WhatsApp namba 0657 788 888 Utahudumiwa FASTA.

Pia unaweza kujiunga na group letu la  WhatsApp ambalo lina wadau kama wote wanaojadiliana mambo ya kisoka na kupeana tips katika mikeka yenye KUTUSUA – Bonyeza link ya kukupeleka moja kwa moja kwenye group https://bit.ly/3vi3pRe

BETIKA! Chaguo la Mabingwa

Vigezo na masharti kuzingatiwa

Hairuhusiwi kwa wenye umri chini ya miaka 18

Cheza kistaarabu