Get New DJ Mixes
AUDIO

Tazama Tiba Ya Miguu Iliyovimba Na Kupooza Na Kupelekea Kushindwa Kutembea

Tazama Tiba Ya Miguu Iliyovimba Na Kupooza Na Kupelekea Kushindwa Kutembea

kwa hakika maradhi humfanya mtu kubaki kama mtumwa na ambaye hana lake hapa duniani, ugonjwa umfanya mtu asijiweze na kuwapa watu wengi mzigo maishani.

Watu wengi husema badala ya kuwa mgonjwa na kuwa mzigo kwa jamaa zako bora kufariki ili kuwaepushia mzigo, Hii ndio ilikuwa kauli ya mama yangu mzazi ambapo mara tu alipopooza miguu yake ikavimba asiweze hata kutembea kwa vyovyote vile.

Miguu yake ilikuwa imevimba ajabu jambo lililopelekea yeye kuiacha kazi yake aliyokuwa ameajiriwa katika ofisi moja ya serikali mjini Kitale, Alikuwa mjane ambapo baba yetu alikuwa keshafariki kutokana na ajali na tulimtegemea mama kama aliyekimu mahitaji ya familia yetu.

Siku ziliposonga miguu yake ilianza kunyauka na kutoka ngozi ya juu alibaki kulalamikia uchungu kila mara kwani hata kuvaa viatu ilikuwa ni kibarua kigumu, Miguu ile jinsi siku zilivyopita ndipo ilikuwa mizito zaidi.

Harufu mbaya ilitoka kwenye miguu ile huku usaha na uvimbe vikiwa kwenye miguu yake ile, Hakuna mtu aliyetaka kumkaribia kwani kwa hakika harufu iliyotoka kwa miguu yake ilikuwa ya kutisha kweli.

Tulijitwika jukumu la kumpeleka hospitalini ili kuona kama hali ingekuwa nzuri lakini mambo yalizidi kwenda mrama, Katika hospitali zote tulizotembea, madaktari wote walisema kuwa hawakuelewa nini ama ni ugonjwa upi aliokuwa akiugua jambo lililopelekea miguu yake kuvimba namna ile.

Hali hii ilituacha tumesononeka tusijue la kufanya kwani tulikua tukimpenda mama yetu sana na tulipomtazama akiugua vile machozi yalitutiririka, Mama alituamuru tumrudishe nyumbani kwani matibabu yote pale hospitalini yalikuwa hayawezekani.

Mara nyingi mama alikuwa akisema kwamba anangoja tu siku ya kufa na yeyote hasiendelee kumsaidia kutafuta tiba kwani hakutaka kuwa mzigo kwetu sisi kama wanawe, Tulibaki tumeshangaa tusijue hata la kufanya kwani alikuwa mama mzazi aliyetupenda sisi sote kwa usawa.

Muda ulisonga na mambo yalizidi kuwa magumu zaidi kwa mama yetu, Tulipokuwa tumekata tamaa kabisa ndipo mjomba wetu alifika kutoka kijijini ambaye alikuwa kaka ya mama alisema kuwa atampeleka kwa daktari Kiwanga ambaye alikuwa mwenye uwezo wa kumrejeshea hali yake ya kawaida.

Alisema kwamba daktari Kiwanga alikuwa amesaidia jamaa fulani kutokana na ugonjwa kama uliokuwa akiugua mama, Baada ya juma moja hivi, mjomba aliandamana na mama hadi mjini Nakuru kwa ajili ya tiba za daktari Kiwanga ambayo kwa maoni yake ingeleta nafuu na kumrudishia mama hali yake ya kawaida.

Sisi pia kama wanawe tulikuwa na matumaini kuwa mama yetu angerudi katika hali ya kawaida, Tulikuwa tumeandamana mimi na mjomba wangu kumpeleka mama kwenye ofisi za daktari Kiwanga kwa ajili ya matibabu, Daktari Kiwanga alimhoji huku akiichunguza miguu yake kwa umakini, kisha aliipaka dawa fulani na usaa ulitoka kwenye miguu ile.

Dawa nyingine alitupa na kutuambia kuwa angetumia kila siku na baada ya siku tatu hali ingekuwa shwari, Tulirejea nyumbani na kwa kweli baada ya siku tatu dawa ile ilikua ishamaliza kupooza kwa miguu ile, Hapakuwa na usaa wowote kwenye miguu ya mama, Alianza hata kutembea kama hapo zamani.

Alikuwa mchangamfu kama hapo awali, Baadaye alirejea kwenye kazi yake na maisha yaliendelea kama kawaida.

Daktari Kiwanga ana uwezo wa kutibu magonjwa kama vile magonjwa ya kisukari, kifua kikuu kisonono na magojwa mengine kwa muda wa siku tatu pekee, Ana uwezo pia wa kukulinda kutokana na maadui wako ambao hawakutakii mema,

Ana uwezo wa kukusaidia wewe kama mama tasa kupata ujauzito na kukuondolea aibu ya kutopata mtoto kwa wakati wowote ule. Kwa mengi zaidi wasiliana nao kupitia barua pepe kiwangadoctors@gmail.com ama kwenye wavuti www.kiwangadoctors.com ama waweza kuwasiliana nao kupitia nambari ya simu +254 769404965.