Get New DJ Mixes
AUDIO Dr Kiwanga

Njia Iliyonisaidia Kukomesha Tabia Ya Mume Wangu Kuchepuka Nje Ya Ndoa

Njia Iliyonisaidia Kukomesha Tabia Ya Mume Wangu Kuchepuka Nje Ya Ndoa

Ndoa inapaswa kuwa na watu wawili waaminifu na iwapo wanandoa watakua na tabia ya kufanya vitu kando ya ndoa yao basi jambo hili linaweza kuleta mtafaruko na vurugu ambayo inaweza kuleta maafa ikiwa mwanandoa asiyekuwa mwaminifu atajulikana.

Tuliishi na mume wangu kwenye ndoa na mambo yalikuwa mazuri hadi wakati ambapo nilikuwa mjamzito ikiwa ni mimba ya mtoto wetu wa tatu tukiwa kwenye ndoa, Alianza kubadilisha tabia wakati mwingine alikuwa anachelewa kurudi nyumbani.

Hali hii ilinipa wasiwasi na kila mara nilitaka tusuluhishe mambo haya lakini alikuwa mkali sana, Aliniambia hadharani kwamba alikuwa na mpango wa kando ambaye alikuwa anamtaka amtimizie mahitaji yake.

Maneno yake yalifanya nihisi uchungu kweli kwani wakati kama ule nikiwa mjamzito nilihitaji awe karibu yangu kwani ulikuwa ni wakati wa kunionyesha penzi kwa maana nilikuwa mjamzito na mimba ile ilikuwa baina ya watu wawili ambao ni mimi na yeye.

Kila mara watoto wetu waliuliza alikokua baba yao na nilikosa la kuwaambia kwani ilianza kuwa ni nadra sana mume wangu kulala nyumbani, Alikwepa majukumu ya pale nyumbani kama vile kununua chakula na kila mara nilipomuuliza aliniambia mimi pia kama mama wa nyumba nilipaswa kuwajibika kwani familia ilikuwa yetu sote wawili.

Nilikuwa na ujauzito wa miezi saba kwa hivyo sikuwa na uwezo wa kufanya mambo kadhaa pale nyumbani, Hali ilizidi kuwa ngumu kwani wakati mwingine sikuwa hata na pesa za kwenda kwenye kliniki kupokea matibabu, Nilibaki nimekonda sana.

Mume wangu hakuwa na muda wa kuongea na watoto wetu na kwasababu hio walimchukia sana na kuwa na mawazo mabaya kumhusu baba yao, Hii ni kwa sababu mume wangu alikuwa hakai pale nyumbani na hakuwaonyesha penzi kama baba wengine walivyofanyia watoto wao.

Nilitafuta ushauri kwa dada yangu ambaye alinielekeza kwa daktari Kiwanga kwani alikuwa hapo awali amepitia shida kama niliyokuwa napitia.

Alinipa nambari ya daktari Kiwanga na hapo nilijitwika jukumu la kumpigia simu kwani nilitaka kupata usaidizi kwa swala zima la mume wangu kutorejea nyumbani kwa ajili ya michepuko swala hili lilikuwa limenifika kwenye koo.

Baada ya wiki moja nilienda kwa daktari Kiwanga ambapo alinihoji na kunipa wosia kwa wakati mmoja, Alinipa vitembe vidogo ambavyo alinishauri niviweke chini ya kitanda chetu na kuwa baada ya siku tatu hivi mume wangu angekuwa ameacha tabia yake.

Nilirejea nyumbani na kufanya yote ambayo daktari Kiwanga aliniagiza, Baada ya siku tatu nilishangazwa ambapo mume wangu alinipigia simu na kuniambia kwamba anakuja nyumbani.

Niliona kama ilikuwa ndoto kwani likuwa ni nadra kwake hata kupiga simu kutujulia hali, Nilifahamu fika kwamba daktari Kiwanga alikuwa ni mtu wa kuaminika na kutegemewa kwa wakati wowote ule.

Mume wangu aliacha tabia zile za kuwa na michpuko tangu nilipomtembelea daktari Kiwanga. Alianzisha uhusiano mzuri na watoto wetu ukilinganisha na hapo awali ambapo aliwatenga, Walifurahi na baba yao kila wakati, Furaha ilirejea kwenye ndoa yetu kwa mara nyingine tena.

Daktari Kiwanga anakuwezesha kuwa na uwezo wa kuwa na bahati maishani kwani jambo lolote unalofanya huchipuka na kuwa tegemeo la maisha yako Iwe ni biashara, ukulima ama kitu chochote.

pia ana uwezo wa kukuondolea hofu maishani kwa kukutabiria jinsi hali yako itakavyokuwambeleni, Kwa mengi zaidi wasiliana nao kupitia barua pepe
kiwangadoctors@gmail.com ama kwenye wavuti www.kiwangadoctors.com ama waweza kuwasiliana nao kupitia nambari ya simu au whatsapp +254 769404965.