Get New DJ Mixes
ENTERTAINMENT

Tizama Ligi Ya Betika! Mtanange Mkali Kati Ya Espanyola Na Morocco Square

Tizama Ligi Ya Betika! Mtanange Mkali Kati Ya Espanyola Na Morocco Square

Tizama Ligi Ya Betika! Mtanange Mkali Kati Ya Espanyola Na Morocco Square

Kabumbu La Kukata Na Shoka Leo Limepigwa kati Ya Espanyola Vs Morocco Square

wachezai wa timu zote mbili wakionesha bango lenye kaulimbiu ya ligi hio ya betika

Uwanja Unaelemewa Na Mashabiki Huku Sio Espanyola Wala Morocco Square Wakitikisa Nyavu Kwa Wakati Wote Wa Dakika 90

Baadhi Ya Mashabiki Waliojitokeza Uwanjani Kushuhudia Kabumbu Kati Ya Timu Hizo Mbili

Changamoto Za Kimchezo Zikiendelea Uwanjani Katika Kutafuta Ushindi Lakini Hali Ikawa Ngumu Zaidi

Wachezai Wa Timu Zote Mbili Wakionekana Kuwania Mpira Wa Fifty – Fifty Ukiwa Hewani

TAZAMA VINARA WA MABAO HAPA CHINI

Kumbuka Mashindano Haya Yana Udhamini Wa Kampuni Ya Kubashiri Ya Betika

USISUBIRI KUHADITHIWA ZAMA BETIKA.CO.TZ ILI UWEZE KUBASHIRI KWENYE KAMPUNI YENYE ODDS ZA KIBABE. GUSA HAPA!!!!!