Get New DJ Mixes
success

Betika Ikifanya Usajili Wa Washindi Waliopata Tiketi Ya Kushuhudia Mtanange Wa Simba Na Yanga KI-VIP. Wewe Unasubiri Nini?

Betika Ikifanya Usajili Wa Washindi Waliopata Tiketi Ya Kushuhudia Mtanange Wa Simba Na Yanga KI-VIP. Wewe Unasubiri Nini?

Betika Ikifanya Usajili Wa Washindi Waliopata Tiketi Ya Kushuhudia Mtanange Wa Simba Na Yanga KI-VIP. Wewe Unasubiri Nini?

mshindi wa tiketi akisajiliwa tayari kwa maandalizi ya kushuhudia mechi kati ya watani wa jadi
  • Promosheni ni MTOKO WA KIBINGWA (katika promosheni hii betika inawapa fursa watumiaji wake kuutazama mtanange wa simba dhidi ya yanga pale uwanja wa Benjamin mkapa siku ya tarehe 16 katika siti za VIP A, watasindikizwa na ving’ora na ulinzi mkali kwenda uwanjani.)
  • huu ni msimu wa 5 na kauli mbiu ya msimu huu wa 5 ni HAINA MBAMBAMBA. Katika msimu huu Betika inahitaji jumla ya mabingwa 100.
  • Washindi wa mtoko wa kibingwa wameanza kupatikana na betika imeanza kufanya usajili wa mabingwa hao maskani kwao.
  • Washindi wanaofanyiwa usajili ni mabingwa waliopatikana kutoka Dar, Sio Lazima Uishi Dar.
  • Washindi wanapatikana kupitia droo za kila wiki na kila wiki betika wanatangaza washindi Zaidi ya 10.
  • Mpaka sasa tumepata washindi ……..16……. kati ya mabingwa 100 ambao betika tunahitaji kwa msimu huu.
  • Tarehe za Draw za wiki ijayo. – tarehe 27, tarehe 1 march, tarehe 3 march.
  • Jinsi ya kushiriki kwenye droo beti mikeka 5 kila siku na hakikisha kila mkeka unabeti kwa dau la kwanzia 500 na kuendelea. Unaweza ukabeti kwenye website yetu ya www.betika.co.tz au unaweza ukapiga *149*16# ,mkeka wako uchanike au usichanike moja kwa moja unaingia kwenye droo ya mtoko wa kibingwa.