Get New DJ Mixes
success

Cheki Betika Yampandisha Ndege Ya VIP Mshindi Huyu Kutoka Bukoba

Cheki Betika Yampandisha Ndege Ya VIP Mshindi Huyu Kutoka Bukoba
mshindi constatine mbele akifurahia ticket yake

Cheki Betika Yampandisha Ndege Ya VIP Mshindi Huyu Kutoka Bukoba

Mtanzania mmoja kutoka bukoba amejikuta akiwa mshindi kati ya watu 100 ambao wanatakiwa kupelekwa kushuhudia mtanange mkali kati ya simba na yanga.

Ni rahisi!!!!! Fanya Haya.

  • Promosheni ni MTOKO WA KIBINGWA (katika promosheni hii betika inawapa fursa watumiaji wake kuja jijini Dsm kwa usafiri wa ndege kwenda na kurudi kutoka mkoa wowote Tanzania.
  • Kuja kuutazama mtanange wa simba dhidi ya yanga pale uwanja wa Benjamin mkapa siku ya tarehe 16 katika siti za VIP A, watasindikizwa na ving’ora na ulinzi mkali kwenda uwanjani.
  • Vile vile betika watagharamia malazi na chakula katika hoteli ya nyota 5.) , huu ni msimu wa 5 na kauli mbiu ya msimu huu wa 5 ni HAINA MBAMBAMBA. Katika msimu huu Betika inahitaji jumla ya mabingwa 100.
  • Washindi wanapatikana kupitia droo za kila wiki na kila wiki betika wanatangaza washindi Zaidi ya 10.
  • Jinsi ya kushiriki kwenye droo beti mikeka 5 kila siku na hakikisha kila mkeka unabeti kwa dau la kwanzia 500 na kuendelea.
  • Unaweza ukabeti kwenye website yetu ya www.betika.co.tz au unaweza ukapiga 14916# .
  • mkeka wako uchanike au usichanike moja kwa moja unaingia kwenye droo ya mtoko wa kibingwa ambayo itakupa fursa kuja jijini Dsm kwa usafiri wa ndege kwenda na kurudi kuja kushuhudia mtanange wa Simba v Yanga April 16.

CHEKI HAWA NDO WASHINDI AMBAO MBAKA SASA WAMEJISHINDIA TIKETI

List ya Mabingwa ambao mpaka sasa wamejishindia ticket za ndege ni hii hapa

1 Bahame Masangwa Balele Simiyu/Itilima/Mwaswale
2 Constantine Constantine Mbele Ruvuma
3 Stephano Skaut Charles Kagera
4 Mariam Mohamed Ramadhan Dar-es-Salaam/Chamazi
5 Joshua Charles Gasado Mkuranga/Morogoro
6 Salivius Lucas Frugence Njombe
7 Paschal David John Geita
8 Jovin Joseph Rwakatale Ilemela/Mwanza
9 Richard Moris Mbewe Nkasi/Rukwa
10 Elias Ezekiel Msongole Mbeya
11 John Nodi Nyato Njombe
12 William Athuman Dar es Salaam

  1. Joram Pius -Kagera
  2. Said Mohammed -Moshi