Get New DJ Mixes
success

Cheki Jamaa Alivyoshinda Kiulainii! Tiketi Ya Ndege Kwenda Kutazama Kariakoo Dabi Na Kurudi.

Cheki Jamaa Alivyoshinda Kiulainii! Tiketi Ya Ndege Kwenda Kutazama Kariakoo Dabi Na Kurudi.

Eriabu Roita akikabidhiwa tiketi yenye dhamana ya kupandisha ndege kutoka mbeya mpaka dar es salaam kuja kutazama kariakoo derby

Cheki Jamaa Alivyoshinda Kiulainii! Tiketi Ya Ndege Kwenda Kutazama Kariakoo Dabi.

Mtanzania Mmoja Aitwae Eriabu Roita kutoka Mbarali Mkoani Mbeya Ameibuka Kidedea Baada ya kushinda Tiketi Ya MTOKO WA KIBINGWA wa Betika., Eriabu ni miongoni mwa Mabingwa waliojishindia tiketi za Ndege kwenda na kurudi kutoka Mikoani kuelekea Dar Es Salaam.

Nakukumbusha tu!!! kuwa Betika inawapa fursa watumiaji wake kwenda Dar Es Salaam kuutazama mtanange wa Simba dhidi ya Yanga Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar Es Salaam tarehe 16/Aprili.

huku ikigharamia tiketi ya Ndege kwenda na kurudi, washindi wakipata nafasi ya kukaa katika siti za VIP A, watasindikizwa na ving’ora na ulinzi mkali kwenda Uwanjani katika msimu huu wa 5 wa MTOKO WA KIBINGWA ambao Betika inasema haina HAINA MBAMBAMBA.

Jinsi ya kushiriki kwenye droo ya leo Tarehe 10 Mwezi Machi

beti mikeka 5 kila siku na hakikisha kila mkeka unabeti kwa dau la kwanzia 500 na kuendelea.

Unaweza ukabeti kwenye website yetu ya www.betika.co.tz au unaweza ukapiga *149*16#

KUMBUKA!

mkeka wako uchanike au usichanike moja kwa moja unaingia kwenye droo ya mtoko wa kibingwa ambayo itakupa furesa kuja jijini Dsm kwa usafiri wa ndege kwenda na kurudi kuja kushuhudia mtanange wa Simba v Yanga April 16.