Get New DJ Mixes
success

Panda Ndege Buree!!! Ukashuhudie Mtanange Wa Simba Na Yanga, Ni Rahisi Fanya Hivi!!!!

Panda Ndege Buree!!! Ukashuhudie Mtanange Wa Simba Na Yanga, Ni Rahisi Fanya Hivi!!!!

Promosheni ni MTOKO WA KIBINGWA (katika promosheni hii betika inawapa fursa watumiaji wake kuja jijini Dsm kwa usafiri wa ndege kwenda na kurudi kutoka mkoa wowote Tanzania.

Kuja kuutazama mtanange wa simba dhidi ya yanga pale uwanja wa Benjamin mkapa siku ya tarehe 16 katika siti za VIP A.

Sio Hivyo Tu!! washindi watasindikizwa na ving’ora na ulinzi mkali kwenda uwanjani, vile vile betika watagharamia malazi na chakula katika hoteli ya nyota 5.

Katika msimu huu Betika inahitaji jumla ya mabingwa 100, mbaka sasa washindi waliopatikana ni 17, bado una nafasi.

Washindi wanapatikana kupitia droo za kila wiki na kila wiki betika wanatangaza washindi Zaidi ya 10.

Tarehe za Draw za wiki hii ni tarehe 27,1,3.

JINSI YA KUSHIRIKI, NI RAHISI

beti mikeka 5 kila siku na hakikisha kila mkeka unabeti kwa dau la kwanzia 500 na kuendelea.

Unaweza ukabeti kwenye website yetu ya www.betika.co.tz au unaweza ukapiga *149*16#

KUMBUKA!

mkeka wako uchanike au usichanike moja kwa moja unaingia kwenye droo ya mtoko wa kibingwa ambayo itakupa furesa kuja jijini Dsm kwa usafiri wa ndege kwenda na kurudi kuja kushuhudia mtanange wa Simba v Yanga April 16.

HAWA NI WASHINDI 17 KATI YA 100 WANAOHITAJIKA, KESHO NI ZAMU YAKOO!!!!

washindi wakikabidhiwa tiketi zao

mshindi akihojiwa kuhusu anavyojisikia baada ya kupata tiketi ya kupanda ndege kwenda kushuhudia mechi kati ya simba na yanga