Get New DJ Mixes
success

Panda Ndege Kwenda Na Kurudi Bureee! Kutazama Mechi Ya Simba Na Yanga, Fanya Hivi Ni Rahisi Sana.

Panda Ndege Kwenda Na Kurudi Bureee! Kutazama Mechi Ya Simba Na Yanga, Fanya Hivi Ni Rahisi Sana.

Kampuni Ya Betika Mbaka Sasa Imepata Washindi 18 Wanaohitajika Ni 100, Bado Una Nafasi Kushinda Tiketi Na Kwenda Kutazama Kariakoo Derby Tarehe 16.

JE UNATAKA KUSHINDA TIKETI YAKO PIA! FANYA HIVI.

Promosheni ni MTOKO WA KIBINGWA (katika promosheni hii betika inawapa fursa watumiaji wake kuja jijini Dsm kwa usafiri wa ndege kwenda na kurudi kutoka mkoa wowote Tanzania.

Kuja kuutazama mtanange wa simba dhidi ya yanga pale uwanja wa Benjamin mkapa siku ya tarehe 16 katika siti za VIP A.

Sio Hivyo Tu!! washindi watasindikizwa na ving’ora na ulinzi mkali kwenda uwanjani, vile vile betika watagharamia malazi na chakula katika hoteli ya nyota 5.

Katika msimu huu Betika inahitaji jumla ya mabingwa 100mpaka sasa washindi waliopatikana ni 18, bado una nafasi!!!!.

Washindi wanapatikana kupitia droo za kila wiki na kila wiki betika wanatangaza washindi Zaidi ya 10.

Tarehe za Draw za wiki hii ni tarehe 27,1,3.

JINSI YA KUSHIRIKI, NI RAHISI

beti mikeka 5 kila siku na hakikisha kila mkeka unabeti kwa dau la kwanzia 500 na kuendelea.

Unaweza ukabeti kwenye website yetu ya www.betika.co.tz au unaweza ukapiga *149*16#

KUMBUKA!

mkeka wako uchanike au usichanike moja kwa moja unaingia kwenye droo ya mtoko wa kibingwa ambayo itakupa fursa kuja jijini Dsm kwa usafiri wa ndege kwenda na kurudi kuja kushuhudia mtanange wa Simba v Yanga April 16.

KATIKA KUENDELEZA HEKA HEKA ZA KUTAFUTA WASHINDI WA TIKETI ZA MTOKO WA KIBINGWA KAMPUNI YA BETIKA IMEANZISHA MASHINDANO YA LIGI YA MPIRA WA MIGUU TAZAMA HAPA CHINI

baadhi ya wanawake na team mbali mbali zinazo shiriki ligi ya betika sodo for climate wakionesha bango lenye kaulimbiu ya ligi hio
  • Katika Kmpeni Hii Ya Ligi Ya Sodo 4 Climate, Betika imeweka pia ligi ya upande wa wanawake kushiriki lengo ni kuendeleza na kuwawezesha wanawake wenye vipaji vya soka ila hawana fursa ya kuvionesha kwa sababu ya kukosa mashindano ya mara kwa mara katika jamii kama ilivyo kwa wanaume.
  • Sodo 4 Climate imelenga kutoa elimu ya kuwapa wanawake fursa katika jamii ili waweze kua na maendeleo bila kutegemea wanaume katika maisha yao.
  • Jumamosi hii mechi matokeo RC fc queens 1- 2 Kopa G queens na RC fc wanaume 3- 1 Bodaboda msasani , team ya mkuu wa mkoa kwa wanaume na team ya wanawake ya kopa G queens wamefanikiwa kutinga katika hatua ya nusu fainali.
RC FC wakionesha kaulimbiu ya ligi ya sodo 4 climate