MUSIC

Diamond Platnumz Aendelea Kujizolea Tuzo, Hii Nyingine Tena

Diamond Platnumz Aendelea Kujizolea Tuzo, Hii Nyingine Tena
Taasisi ya Kiswahili nchini Canada, Swahili Vision International Association(SVIA) imemtunuku Tuzo ya Heshima msanii Diamond Platnumz kwa kukuza na kueneza lugha ya Kiswahili kimataifa kupitia muziki wake.

Leave a Comment