Get New DJ Mixes
MUSIC

Mchezaji wa Barcelona na timu ya taifa ya Uholanzi, De Jong atembelea mbunga ya Serengeti Tanzania (+ Video)

Mchezaji wa Barcelona na timu ya taifa ya Uholanzi, De Jong atembelea mbunga ya Serengeti Tanzania (+ Video)
Mchezaji mpya wa Barcelona Frenkie de Jong yupo Bongo anakula maisha na mpenzi wake kwenye mbuga ya wanyama ya Serengeti katika kipindi hiki ambacho yupo mapumzikoni baada ya kumaliza majukumu akiwa na Ajax na baadaye timu ya taifa ya Uholanzi.

Leave a Comment