Get New DJ Mixes
Dr Kiwanga

Angalia Nilivyolipiza Kisasi Kwa Majambazi Walionivamia Nyumbani! GUSA HAPA USOME MKASA HUU

Angalia Nilivyolipiza Kisasi Kwa Majambazi Walionivamia Nyumbani! GUSA HAPA USOME MKASA HUU

Wakati mmoja hapo mbeleni nilipokuwa natoka kazini, nilikumbwa na masahibu ya ajabu. Nilikuwa katika gari langu nikiliendesha kuelekea nyumbani. Nilikuwa najihisi mchovu sana na hamu ya kufika nyumbani kupumzika ilikuwa kubwa mno. Wakati huo huo, kulikuwa na gari kubwa, aina ya landrover likinifuata nyuma pasi na kujuwa. Ilikuwa mwendo wa saa moja. Giza lilikuwa limeanza kutanda na mataa ya magari mengine yalikuwa yanawaka na kutoa mwangaza mwingi mno. Kwa hivyo, sikuangalia
nyuma mara nyingine tena kwa kutumia kioo cha ndani ya gari maana mwangaza ule ulikuwa unachoma macho. Nikaamua kujiburudisha na muziki huku nikiliendesha gari polepole kwenye jam.

Nilipokaribia nyumbani kwangu kule Ongata Rongai, giza lilikuwa limetanda. Magari mtaani kule nilikoishi hakuwa na magari mengi sana. Nilipokata kona kutoka kwenye barabara kuu, nilifwatwa na gari lile lile aina ya landrover. Lakini sikugundua kwa maana nilikuwa na hamu kubwa ya kufika nyumbani na kupumzika. Barabara kule mtaani haikuwa ya lami. Ilikuwa na vumbi nyingi na hivyo hata nilipoangalia nyuma mara kadhaa kama ilivyokuwa mazoea yangu, sikuona vizuri lile gari.

Nilipofika kwa lango kuu kwenye boma langu, nikahisi msukumo pamoja na sauti kubwa nyuma ya gari langu. Kumbe wale majambazi waligonga gari langu kutoka nyuma na kulibonda ili nsiweze kutoroka.Gari lao nalo halikubondeka sana kwa maana lilikuwa nzito na kuweza kustahimili pigo kubwa. Nilipoangalia vizuri nyuma, ndipo nikaligundua gari hilo. Hao majambazi nao hawakuchelewa kushuka gari hilo na kuja kuvunja kioo cha gari langu na kuniamrisha nitoke nje. Mmoja wao alinyoosha bunduki
na kuniambia nifanye lile watakalo la sivyo niuwawe pamoja na familia yangu.

Wakati huo huo, kijana wangu, Juma, alikuwa amesikia sauti ya magari kugongana na kuamua kutoka nje kuona kile kinachoendelea. Hapo ndipo niligundua kwamba nitakuwa na masahibu kubwa sana. Niliomba mola ili aweze kuninasua katika mtego ule. Wale majambazi walipomuona, walinifunga mdomo na kunisukuma ndani ya gari na kufunga mlango ili Juma asijue kinachoendelea. Naye kwa kutojua hatari iliyokuwepo, alifungua mlango mkuu na kutoka nje kuona magari yale. Nao wakatoka nje
ya gari na kumshika yeye pia. Wakafungua mlango wazi kabisa na kuyaingiza magari yale ndani ya boma langu. Kisha wakafunga mlango na wote kutoka nje ya gari pamoja nasi.

Wakaniambia kwamba wanataka pesa kutoka kwangu ili wasitudhulu. Nilikubali matamshi yao kwa maana nilipenda familia yangu na singetaka kuona mmoja wao akidhuliwa. Mlango wa nyumba ulikuwa wazi. Kuingia ndani ya nyumba haikuwaletea shida kwa maana mke wangu alikuwa anajushughulisha kupika chakula jikoni akisaidiwa na binti yangu. Waliingia nyumbani na kuwarukia mke wangu na binti yangu na kuwafunga midomo na mikono iliwasipige kelele wasije wakasikika wakipiga
nduru.

Nami nikawaomba wasiwadhulu kwa maana nitawapea pesa na kuwaruhusu kubeba mali yoyote watakayotaka. Wakaniamrisha niwape pesa kwa haraka. Wakanisukuma hadi chumba cha kulala ili niondoe pesa mahali nilipoweka huko. sikusita hata kidogo kwa maana ile pesa ilikuwa kidogo kwangu. hela nyingi mimi huweka kwenye benki. Nao wakaona kwamba wameangukia bahati kwasababu shilingi elfu mia moja ishirini na tatu ilikuwa nyingi kwao. Nikawapa na kungoja watuachilie nao waende zao. Lakini hawakufanya hivyo. Wakaamua kujipa starehe na kula chakula ambacho kilikuwa kimepikwa huku sisi tumekalishwa kwa sakafu tukiwa tumefungwa kwa kamba. Kisha, wakanipiga vibaya sana na kuwabaka mke wangu na binti yangu.

Nilishikwa na huzuni sana. Walipoenda, nikampigia ndugu yangu simu ambaye alikuwa polisi na kumwarifu kilichotendeka. Naye akaja maramoja kutoka kituo cha polisi pamoja na askari wenzake. Wakatupeleka hospitalini na kuacha maafisa wa uchunguzi wakifanya upelelezi. Lakini kwa bahati mbaya, juhudi zao za kupata wale majambazi hazikufua dafu. Baada ya siku kadhaa, nikapatana na rafiki yangu na kumueleza
kilichotokea. Naye akaniambia kwamba kuna mtu ambaye anaitwa Dr. Kiwanga ambaye anaweza kunisaidia ili niweze kuwaadhibu wale majambazi. Rohani alinipatia mawasiliano ya Dr. Kiwanga ambayo ni +254 769404965, anuani ya barua pepe: kiwangadoctors@gmail.com au website yao ya www.kiwangadoctors.com.

Nikamwambia kwamba ningependa kuwaadhibu wale majambazi kwasababu waliniumiza pamoja na familia yangu. Hata sikuwa na haja ya pesa waliochukuwa kwa maana pesa ninazo za kutosha na kama wangechukua pesa bila ya kutudhulu, nisingewafwata kwa maana pengine walikuwa wanaiba sababu ya umaskini.
Siku iliyofwata, nikasikia kwamba kuna watu ambao wamepatikana wakila nyasi kule mtaani nilipoishi. Kwenda kuona, nikapata kwamba ni majambazi wale waliotudhulu. Nikamuita ndugu yangu aje pamoja na askari wenzake ili wawatie mbaroni.
Katika mazungumzo yetu, Dr. Kiwanga aliniambia kwamba anatibu ugonjwa wa presha,
kisukari, magonjwa ya zinaa na matatizo ya nguvu za kiume lakini pia alisema anatatua shida mbalimbali za kimaisha.
Unaweza kumpata Dr. Kiwanga kwa namba +254 769404965 au tembea website yao
www.kiwangadoctors kwa taarifa zaidi.