Get New DJ Mixes
Dr Kiwanga

Madaktari Bingwa Walivyoweza Kumponyesha Mwanangu Kifua Kikuu, Ugonjwa Ulimsumbua Kwa Muda Mrefu

Jinsi Madaktari Bingwa Walivyoweza Kumponyesha Mwanangu Kifua Kikuu, Ugonjwa Ambao Ulimsumbua Kwa Muda Mrefu

Kifua kikuu ni ugonjwa ambao huwa sugu katika maisha ya binadamu, Mara nyingi ugonjwa huu unaweza kuwa tishio la maisha kwani watu wengi hufariki kutokana na ugonjwa huu, Tuliishi mjini Mwanza ambao kwa kawaida huwa ni mji ambao huwa na joto jingi kutokana na uwepo wa ziwa la Victoria.

Mwanangu alianza kuonyesha dalili za kuwa na joto jingi mwilini na hapo mimi na mume wangu tukaona kwamba pengine alikuwa na malaria kutokana na uwepo wa joto jingi sehemu ile pia mbu walikuwa mara dufu.

Tulimnunulia dawa za kujikinga kutokana na malaria na kila alipopata nafuu shughuli zetu zilirejea kama kawaida, Muda uliposonga hali ilikuwa vile vile na tulijitwika jukumu la kumnunulia dawa za malaria bila hata ya kumpeleka kwenye zahanati au hospitali yeyote mjini Mwanza.

Wakati mwengine hali yake ilidhoofika sana na alianza kuwa na joto jingi mwilini, Alipoteza uwezo wa kula na kila alipojaribu kula hata chakula kidogo alitapika mara kwa mara, Hali ikawa mbaya zaidi kwani alitetemeka mwili mzima swala lililopelekea mimi na mume wangu kutafuta huduma za hospitalini kwenye hospitali ya kiserekali mjini hapo.

Alitibiwa na baada ya wiki moja tukarejea naye nyumbani, kwa hakika hali ilirejea na tukafurahia kuona mtoto wetu akiwa katika hali nzuri, Siku zilipoenda ndipo mambo yalipoanza kubadilika, Mara analalamikia maumivu ya kichwa kila mara.

Alipoteza tena uwezo wa kula na mara hii alitapika damu, Hii ilikuwa tu ni ishara ya kwamba ugonjwa ule ulikuwa umerudi mara hii kwa nguvu zaidi kushinda hapo awali, Mara wakati mwingine aliaanguka tu kila wakati na kuzimia, Tulimkimbiza hospitalini kwa ajili ya matibabu.

Wiki mbili tukiwa hospitali lakini hapakuwa na ishara kwamba angepata nafuu ya haraka kwani hakuonyesha dalili zozote za kupona kwa wakati ule, Mioyo yetu ilishtuka mimi na mume wangu kwani madaktari walisema kuwa ugonjwa ule ulikuwa umemuelemea mtoto wetu na kuwa ingechukua muda ili apone.

Hatukuwa na budi ila kungoja lakini tulikuwa wafanyabiashara kwa hivyo muda wetu mwingi haukuturuhusu kukaa pale hospitalini, Tulihitaji muda wa kufanya biashara kwani kazi ile ya hoteli ndio iliyokimu mahitaji yetu kama familia.

Tulikaa pale hospitalini kwa muda wa wiki mbili na mtoto wetu hakuonyesha dalili kuwa angepata nafuu hivi karibuni, Hali ilikuwa mbaya zaidi.

Tulitafuta matibabu mbadala na hapo Juma ambaye alikuwa rafiki wa familia yetu akatuelekeza kwa daktari Kiwanga aliyepatikana mjini Kericho, tulifunga safari hadi mjini Kericho kwani tulitaka mtoto wetu awe mwenye buheri wa afya kwani ndiye alikuwa mtoto wetu wa pekee.

Tulifika ofisini kwa daktari Kiwanga pamoja na mtoto wetu, Alimfanyia uchunguzi na hapo akatuarifu ya kwamba alikuwa na kifua kikuu ambapo iwapo angekaa kwa wiki mbili zaidi basi angekua keshafariki.

Daktari Kiwanga alimshughulikia na hapo akatupa tumaini kwamba mtoto wetu baada ya siku tatu hali itakuwa shwari kabisa, Tulirejea nyumbani na kwa kweli baada ya siku tatu, alianza kucheza na marafiki zake huku akionekana kuwa mchangamfu kweli.

Hali yake ya kula ilirejea tena, ishara tosha kwamba matibabu ya daktari Kiwanga yalikuwa ya kweli na yenye kutegemewa kwa wakati wowote, Tangu siku ile mtoto wetu hajawahi tena kuugua ugonjwa sugu wa kifua kikuu.

Daktari Kiwanga ana uwezo wa kutibu magonjwa kama vile kifafa na msukumo wa damu kwa muda wa siku tatu pekee, pia uwezo wa kukusuluhishia migogoro ya ndoa ambayo huwa kero kubwa kwa wanandoa wengi.

Isitoshe ni mtu ambaye anaweza kufanya biashara yako iliyoanguka kunawiri Kwa mengi zaidi wasiliana nao kupitia barua pepe kiwangadoctors@gmail.com ama kwenye wavuti www.kiwangadoctors.com ama waweza kuwasiliana nao kupitia nambari ya simu +254 769404965.